Mwakinyo apongezwe, asaidiwe maandalizi ya kusaka taji la IBF - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwakinyo apongezwe, asaidiwe maandalizi ya kusaka taji la IBF

BONDIA Hassan Mwakinyo ghafla tu amekuwa maarufu na gumzo kubwa ndani na nje ya nchi, hii ikiwa ni baada ya kumtwanga bondia Mwingereza Sam Eggington wiki iliyopita kwa TKO katika raundi ya pili ya pambano lililofanyika nchini Uingereza.


Source: MwanaspotiRead More