MWAKYEMBE AKEMEA UHARIBIFU WA MAENEO YA KIHISTORIA KWA LENGO LA KUTAFUTA MADINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWAKYEMBE AKEMEA UHARIBIFU WA MAENEO YA KIHISTORIA KWA LENGO LA KUTAFUTA MADINI
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe (katikati) akisoma maelezo leo kwenye sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini Tabora wakati wa ziara yake katika Manispaa ya Tabora ya kutembelea maeneo ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika.

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe (katikati) akizungumza na wananchi leo kwenye sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini Tabora wakati wa ziara yake katika Manispaa ya Tabora ya kutembelea maeneo ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza na watumishi na viongozi mbalimbali leo wakati wa ziara yake katika Manispaa ya Tabora ya kutembelea maeneo ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika.Baadhi ya watumishi na viongozi wa Manispaa ya Tabora wakimsikiliza Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe (hayupo katika picha ) wakati wa ziara yak... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More