MWALIMU NYERERE AKUMBUKWA KILA KONA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWALIMU NYERERE AKUMBUKWA KILA KONA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
KATIKA kuendelea kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere viongozi na taasisi mbalimbali za kiserikali na binafsi wameendelea kuenzi kwa vitendo tunu alizotuachia baba wa taifa.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa kongamano la kumbukizi ya Mwalimu Nyerere lililofanyika katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam Kamanda wa wa chuo cha mafunzo ya ulinzi wa anga Brigedia Jenerali  Mbaraka Mkeremy amesema kuwa Mwalimu aliamini jeshi dogo lenye uwezo wa kulinda nchi na kusema kuwa usalama, ulinzi na amani haviwezi kutenganishwa na dhana nzima ya maendeleo.

Amesema kuwa jeshi lililoanzishwa na Mwalimu Nyerere  mwaka 1964 lilikuwa dogo na liliundwa kwa kuzingatia misingi ya ujamaa na kujitegemea na lugha ya Kiswahili na Muungano vikawa ndio vitu vilivyoliweka jeshi hilo katika nafasi nzuri hadi leo.

Mkeremy amesema kuwa; Jeshi limeendelea kuishi kwa kumuenzi kwa vitendo  Mwalimu Nyerere licha ya dhana ya usalama kuwa pana na kukutana na chagamoto mbalimb... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More