Mwanafunzi kidato cha nne mbaroni kwa kutupa kichanga - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwanafunzi kidato cha nne mbaroni kwa kutupa kichanga

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Isengo, Ines Mtundu (19) kwa kosa la kumtupa chooni mtoto mchanga. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 24 Septemba 2018 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, SACP Ulrich Matei, inaeleza kuwa, mtuhumiwa ...


Source: MwanahalisiRead More