MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWANAHABARI WA RELI TV BEN MWANANTALA NA SUZAN MAMKWE WAMEREMETA

 Mwandishi machacahri wa wa Shirika la Reli Tanzania Ben  Mwanantala akiwa na mkewe Suzan Mamkwe baada ya kufunga.ndoa katika  kanisa la Mwenge Parokia ya Mwenge jijini Dar es salaan na kufuatiwa na mnuso wa nguvu katika ukumbi  wa Mwenge Hall. Globu ya Jamii inatoa hongera sana kwa Ben ambaye ni mfano wa kuigwa kwa wanahabari wa kwenye taasisi za umma kwa weledi wake na kujituma, Ben mwanantala na Suzan Mamkwe katika mnuso wao baada ya  kumeremetaBen mwanantala na Suzan Mamkwe wakiwa na furaha kwa kumeremeta... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More