Mwanamuziki Abbu Omar aachia ' kitabu cha "Maisha yangu na Bendi za Wanyika” mkongwe Abbu Omar - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwanamuziki Abbu Omar aachia ' kitabu cha "Maisha yangu na Bendi za Wanyika” mkongwe Abbu Omar

Mimi ni Abbu Omar, mwanamuziki mkongwe aliyewaji kupiga Bendi za Simba Wanyika / Les Wanyika kutoka 1981 – 1992. Pia nilishiriki katika recordings za Album nyingi maarufu kama “Mwana sikia”,  “Sikujua kama utabadilika”, “Haleluya”, “Shilingi yaua”, “Baba Asia”, “Mapenzi ni Damu”, “Mapenzi ya Weekend” na kadhalika. Hivi sasa  Abbu Omar ameandika kitabu cha historia ya bendi za Wanyika kinachoitwa “ Maisha yangu na Bendi za Wanyika” Kuanzia bendi ya Young Nyamwezi Jazz 1958 (Tanga), Jamhuri Jazz 1964, Arusha jazz 1972, Simba Wanyika 1973, Les Wanyika 1978, Super Wanyika By Issa Juma 1981, Hadi mwisho wa Les Wanyika wakati wa kifo cha John Ngereza  mwaka 2002.Kitabu hiki chenye kurasa 248 na picha za matukio mbalimbali, Kinapatikana: Zanzibar Bookshop – Kariakoo jijini Dar es salaam – Shule ya Uhuru, Karibu na Ghorofa Kubwa la China PlazaSimu: 0713 3523248Mtaa wa Samora Opposite J-Mall njia panda ya Samora na Morogoro Road jijini Dar es salaam.Sim... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More