MWANAMUZIKI KING KIKI ATOA NENO KWA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWANAMUZIKI KING KIKI ATOA NENO KWA MAOFISA WA POLISI CHUO CHA KURASINI JIJINI DAR

Mwanamuziki Mkongwe nchini Kikumbi Mwanza Mpango 'King Kiki' akizungumza na maofisa wa Jeshi la Polisi waliopo katika mafunzo Chuo cha Polisi cha Kurasini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuhusu haki za wanamuziki hapa nchini ambapo ameliomba jeshi la polisi kuendelea kusimamia sheria ya haki miliki za wanamuzi ili kazi zao zisiishie kwa maharamia. Mada katika mkutano huo zilitolewa na viongozi wa Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO)Maofisa wa polisi wa chuo hicho wakisikiliza mada.Maofisa hao wakiwa bize kuchukua mambo mbalimbali katika mkutano huo.
Hapa ni kazi tu kwa kwenda mbele maharamia wa kazi za wanamuziki mkae mbali si mnawaona hao jamaa walivyo makini katika mafunzo hayo.
Na Dotto Mwaibale
MWANAMUZIKI Mkongwe hapa nchini Kikumbi Mwanza Mpango 'King Kiki' ameliomba jeshi la polisi kuendelea kusimamia sheria ya haki miliki za wanamuzi ili kazi za wanamuziki hao zisiishie kwa maharamia.
Ombi hilo alilitoa mwishoni mwa wiki wakati viongozi wa Umoja wa Wanamuzi Tanzania (TAMUFO),... Continue reading ->Source: KajunasonRead More