MWANARIADHA ALPHONCE FELIX SIMBU AWASHUKURU WATANZANIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWANARIADHA ALPHONCE FELIX SIMBU AWASHUKURU WATANZANIA

 Habari Tanzania. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana Watanzani wote na wasio Watanzani kwa maombi yeni juu ya mashindano ya New York City Marathon ingawa mimi nimeshindwa kufanya vizuri na pia nimeshindwa kumaliza kabisa.

Naomba niwatie moyo tusikate tamaa kwani bado kuna mashindano mengi mbele tuendee kumwomba mungu ili atusaidie wachezaji wa Kitanzania tuendee kuiwakilisha nchi yetu vyema katika mashindano mbali mbali yajayo.
Tukumbuke kuwa kila jambo linachangamoto zake.
Na napenda kuwaambia sio kila mara itakuwa wewe kuna wakati wa kupanda na wa kushuka pia kwenye mafanikio tufurahi na kwenye shida tushikamane.
Nawashukuru sana na Mungu awabariki. Amen.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More