Mwanariadha wa Kenya Gladys Cherono apata makaribisho ya kipekee nyumbani kwao - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwanariadha wa Kenya Gladys Cherono apata makaribisho ya kipekee nyumbani kwao

Mamia ya wenyeji wa kijiji cha Irimis kaunti ya Nandi eneo la bunde la ufa nchini Kenya walisherehekea kwa nderemo na vifijo ushindi wa Gladys Cherono katika mbio za Berlin Marathon nchini Ujerumani.


Source: BBC SwahiliRead More