Mwanasiasa mkongwe awapa somo watumishi vijana - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwanasiasa mkongwe awapa somo watumishi vijana

WATUMISHI wa serikali na taasisi mbalimbali nchini ambao bado ni vijana wametakiwa kufanya kazi zao kwa uhaminifu na uzalendo kwa faida ya jamii na taifa kwa ujumla. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yalielezwa na mzee maarufu na mkongwe katika siasa Jijini Dodoma, Alhaji Sheikh Mohamed Mackbel alipokuwa juu ya mwenendo wa vijana watumishi ...


Source: MwanahalisiRead More