Mwandishi wa habari mwingine wa uchunguzi mbaroni - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwandishi wa habari mwingine wa uchunguzi mbaroni

MWANDISHI wa Habari za Uchunguzi  wa mtandao wa Watetezi TV, Jeseph Gadye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kudaiwa kufanya uchochezi na kuchapoisha habari za uongo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Akizungumza na MwanaHALISI Online, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa wa Watetezi wa Haki za binaadamu (THRDC), Onesmo Olengurumwa amesema kuwa mwandishi huyo ameitwa kuhojiwa kwenye ...


Source: MwanahalisiRead More