Mwanri aonyesha umahiri wake wa soka uzinduzi Copa Umiseta - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwanri aonyesha umahiri wake wa soka uzinduzi Copa Umiseta

Mwanri  alionyesha makali yake wakati wa uzinduzi wa michezo ya shule za sekondari (Copa Umiseta) kwa kufunga penati na kupiga danadana kwa kutimia mguu wake wa kushoto kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi na kuwapagawisha mashabiki wa soka waliohudhuria uzinduzi huo.


Source: MwanaspotiRead More