MWENYEKITI CCM IRINGA KUNYANG’ANYA KADI WANACHAMA WANAOVUNJA KANUNI,SHERIA NA KATIBA YA CHAMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWENYEKITI CCM IRINGA KUNYANG’ANYA KADI WANACHAMA WANAOVUNJA KANUNI,SHERIA NA KATIBA YA CHAMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Albert Chalamila ametoa onyo kali kwa wana CCM wanaokiuka kanuni na katiba ya chama cha mapinduzi kwa kuanza kampeni za chini kuwania ubunge na udiwani katika majimbo matatu ya wilaya ya Mufindi akisema wanakwenda kinyume na kanuni za uongozi na maadili.Baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi (CCM) wa wilaya ya Mufindi wakimusikiliza kwa umakini mkubwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Albert Chalamila wakati wa ziara yake ya kwanza ya kikazi.Baadhi ya wanahabari wa mkoa wa Iringa wakiwa kazini kupata habari kutoka kwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Albert Chalamila.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Albert Chalamila akipokelewa na green gard wa wilaya ya Mufindi na kupewa heshima anayostahili.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Albert Chalamila akivishwa skafu nagreen gard wa wilaya ya Mufindi
NA FREDY MGUNDA, IRINGA.
MWENYEKITI wa Chama cha Mapin... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More