MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA DK MNDOLWA AANZA ZIARA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA SINGIDA, LEO. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA DK MNDOLWA AANZA ZIARA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA SINGIDA, LEO.


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimiana na viongozi wa Jumuia hiyo baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Bukoba leo kuanza ziara katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza na Singida.


Source: Issa MichuziRead More