Mwenyekiti TPSF ahimiza maadili, sheria sekta binafsi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwenyekiti TPSF ahimiza maadili, sheria sekta binafsi

TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) imeendelea kuwahimiza wadau waliyopo kwenye sekta hiyo kufuata sheria, taratibu na uzalendo ili kuepukana na vitendo vya rushwa ndani ya sekta hiyo kwa manufaa ya Taifa. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Salum Shamte wakati wa ...


Source: MwanahalisiRead More