MWENYEKITI UVCCM AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWENYEKITI UVCCM AFUNGUA SEMINA YA KIMKAKATI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKE

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chma Cha Mapinduzi Ndg Kheri Denis James akizungumza wakati akifungua Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.Makamu Mwenyekiti wa UVCCM akizungumza wakati wa Kumkaribisha Mwenyekiti kufungua Semina hiyo Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akitoa Ufafanuzi kuhusu lengo la Mafunzo haya.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Comred Kheri Denis James (kulia|) pamoja na Makamu Mwenyekiti Comred Thabia Mwita  wakifurahia jambo pamoja na Mkuu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Comred Hassan Bomboko leo mara baada ya Ufunguzi waSemina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani leo jijini Dodoma.(Picha zote na Fahadi Siraji wa Uvccm)Picha ya Pamoja ya Viongozi washiriki wa Semina ya Kimkakati ya Siku Saba kwa Viongozi na Watendaji wa UVCCM Ngazi ya Mikoa yote ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More