MWENYEKITI WA BODI YA DAWASA JENERALI MSTAAFU MWAMUNYAGE ATEMBELEA DAWASCO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWENYEKITI WA BODI YA DAWASA JENERALI MSTAAFU MWAMUNYAGE ATEMBELEA DAWASCO

Mwenyekiti wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasa) Gen. Mstaafu Davis Mwamunyange ametembelea kwa mara ya kwanza tangu kuteuliwa kwake katika Ofisi za Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasco) kwa lengo la kujitambulisha na kufahamu majukumu ya shirika hilo.
Aidha ameipongeza menejimenti ya Shirika hilo kwa jitihada na mipango mizuri waliojiwekea katika kuboresha huduma ya Majisafi na Majitaka kufikia mwaka 2020 katika jiji la Dar es salaam na Miji ya Bagamoyo na Kibaha Mkoani Pwani.Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (Dawasa) Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (kulia) akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja (Kushoto) wakati alipotembelea makao makuu ya Shirika hilo yaliyopo katika eneo la Gerezani jijini Dar es Salaam akiwa na lengo la kujitambulisha na kufahamu majukumu ya shirika hilo.Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa ufafanuzi wa majukumu na utendaji ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More