MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA VIFAA VYA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 2.4. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWENYEKITI WA CCM TARIME ACHANGIA VIFAA VYA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 2.4.

Na Frankius Cleophace Tarime.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Tarime Marwa Daud Ngicho amechagia Vifaa mbalimbali katika shule ya Msingi Mturu iliyopo Kata ya Turwa Mjini Tarime Mkoani Mara kwa ajili ya kuanzisha Stationery ya shuke hiyo kwa lengo la kuondokana na adha ambayo wamekuwa wakipata katika kipindi cha Mtihani.
Mwenyekiti huyo ametoa Vifaa mbalimbali ikiwemo Mashine ya kutolea kopi Mitiani huku wazazi na walezi pamoja na wadau wa Elimu wakiunga Mkono harambee hiyo kwa kuchangia zaidi ya shilingi 70,000.Ngicho amesema kuwa ameamua kutoa vifaa hivyo kwa lengo la kuunga jitiada za serikali ya awamu ya tano katika kutoa elimu bure ili kila mtoto wakiwemo watoto wa maskini wanaenda shule.
“Nilipokea barua yenu ya mahitaji hayo yote sasa nimenunua vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi Millioni mbili na Laki Nne wajibu wenu ni kuvitunza ili kizazi na kizazi kiweze kunufaika” alisema Ngicho.
Kwa upande wake Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mturu Jumanne Obogo amesema ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More