MWENYEKITI WA HALMASHAURI WILAYA YA NZEGA ATOA ONYO KWA WATENDAJI WANAOTAFUNA FEDHA ZA MAPATO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWENYEKITI WA HALMASHAURI WILAYA YA NZEGA ATOA ONYO KWA WATENDAJI WANAOTAFUNA FEDHA ZA MAPATO

Na Editha Shija, Tabora

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora Kiwele Michael Bundala ametoa onyoa kali kwa watendaji wa Vijiji na Kata watakaobainika kutafuna fedha za mapato wanayokusanya kutoka katika vyanzo mbalimbali katika halmashauri hiyo.

Ametoa onyo hilo jana wilayani hapa baada ya kutoridhishwa na utendaji wa baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo kutowasilisha fedha za mapato kwa wakati ambapo amesema halmashauri inakusanya fedha nyingi kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali lakini nyingi zinaingia mifukoni mwa baadhi ya watu.

Pia amesisitiza kuwa watendaji wote wanapaswa kuhakikisha fedha zote zinakusanywa katika maeneo yao na kuletwa kama zilivyo na kwamba kuanzia sasa Mtendaji yeyote atakayebainika kutafuna fedha za mapato au kujihusisha na vitendo vya rushwa atachukuliwa hatua za kinidhamu pamoja na kutimuliwa mara moja.

Amewasisitiza 'kuwa waadilifu na kutekeleza majukumu yao kwa kufuata kanuni,taratibu,na sheria huku akionya kuwa Serikali ha... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More