MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI NCHINI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WAKURUGENZI WA BENKI ZA TIB - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI NCHINI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WAKURUGENZI WA BENKI ZA TIB

Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Charles Singili wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TIB Corporate, Frank Nyabundege.  Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa Umoja huo, Charles Singili (Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya TIB) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TIB Corporate, Frank Nyabundege (kulia) walipomtembelea ofisini kwake leo Januari 10, 2019.  Kikao kikiendelea.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More