“Mwenyezi Mungu Ndio Muumbaji Wa Wanyonge na Wajanja”- Ujumbe Wa Ali Kiba Kwa Ommy Dimpoz - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Mwenyezi Mungu Ndio Muumbaji Wa Wanyonge na Wajanja”- Ujumbe Wa Ali Kiba Kwa Ommy Dimpoz

Staa wa muziki wa Bongo fleva Ali Salehe Kiba amemtumia salamu za Birthday njema Msanii mwenzake na rafiki yake Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz.


Siku ya leo ni siku ya kuzaliwa ya Ommy Dimpoz na rafiki yake na mtu wake wa karibu kabisa Ali Kiba kamuwish Birthday njema na ujumbe mzito.


Ali Kiba amemtaka asijali sana wala asiyawaze yale magumu aliyopitia Miezi michache iliyopita baada ya kulazwa hospitali kwa Miezi karibia mitano badala yake amshukuru tu Mwenyezi Mungu.


View this post on InstagramHappy Birthday @ommydimpoz enjoy your special day bro Na wala Usiwaze.Mwenyezi MUNGU ndie Muumbaji Wa wanyonge Na wajanja . Hivyo basi tunatakiwa tumshukuru kwa kutupa/Na Kutunusuru KWASABABU MUNGU Ana maana yake NA anatupenda Sote ..KAZA 💪🏾 #mofayabyalikiba #KingKiba


A post shared by alikiba (@officialalikiba) on Sep 12, 2018 at 11:32pm PDT

Kwenye posti yake ya leo ya birthday Ommy Dimpoz amemshukuru sana Ali Kiba kwa kuwa naye kipindi chote cha ugo... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More