MWEZI MMOJA WA KAMPENI YA USAFI MILIONI 346 ZAPATIKANA, MAKONDA ALAANI MGAMBO KUPIGA RAIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWEZI MMOJA WA KAMPENI YA USAFI MILIONI 346 ZAPATIKANA, MAKONDA ALAANI MGAMBO KUPIGA RAIA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ametoa taarifa ya kampeni ya usafi iliyoanza takribani mwezi mmoja uliopita katika kikao kilichohusisha wadau ya afya na mazingira.
Akizungumza katika kikao hicho Makonda amesema kuwa tangu kuanza kwa kampeni hiyo zaidi ya watu 1,0000 wamekamatwa, watu 4443 waliachiwa huru, 376 walipata dhamana na takribani watu 6577 walilipa faini iliyofikia shilingi milioni 346 na laki 6 ambapo nusu ya fedha hizo ilikuwa ni malipo kwa mgambo wanaosimamia usafi na hadi sasa watu 6 bado wapo mahakamani.
Aidha amesema kuwa yeye na wakuu wa Wilaya wamelaani kitendo cha mgambo wa kusimamia usafi kumpiga raia katika eneo la Bunju na wamefatilia na hadi sasa watuhumiwa wapo katika gereza la Segerea na amewataka mgambo hao kufanya kazi kwa kufuata na kusimamia sheria kwani hakuna sheria inayorusu kupiga raia.
Aidha amewashukuru wadau na wananchi hasa wale wanaofanya usafi bila shuruti na kuwataka Wakandarasi kufanya kazi kulingana na m... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More