MWIBA HOLDINGS YATOA GARI NA MAMILIONI KWA WMA KUENDELEZA UHIFADHI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWIBA HOLDINGS YATOA GARI NA MAMILIONI KWA WMA KUENDELEZA UHIFADHI

Meneja wa kampuni ya Mwiba,Mark Ghaui (wapili kushoto) akiwa na meneja maendeleo ya jamii na Mahusiano ya Mwiba,Alfred Mwakivike (kushoto0 wakikabidhi funguo na kadi ya gari aina ya Landcrusser waliyotoa kwa hifadhi ya jamii ya Wanyamapori ya Makao na viongozi wa jumuiya hiyoanayepokea ni Mwenyekiti ni Kaimu Mwenyekiti Nzemo Gwesere akiwa na Katibu wake Robert Simon.Meneja wa kampuni ya Mwiba,Mark Ghaui (wapili kushoto)akiwa na meneja maendeleo ya jamii na Mahusiano ya Mwiba,Alfred Mwakibiki (kushoto) baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano wa kuwekeza shughuli za Utalii,katika hifadhi ya jamii ya Wanyamapori ya Makao na viongozi wa jumuiya hiyo,Robert Simon Katibu na Kaimu Mwenyekiti Nzemo Gwesere jana.Na Mwandishi wetu, Meatu.
Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori (WMA) ya Makao,iliyopo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu,juzi imepatiwa msaada wa gari aina ya Toyota Land Crusser baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano wa utalii wna uwindaji na kampuni ya Mwiba Holdings limited.
Mkataba huo, ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More