Mwijage: Zalisheni mbegu za kunukia kuvutia soko - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwijage: Zalisheni mbegu za kunukia kuvutia soko

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Masoko Charles Mwijage amewataka wazalishaji wa mbegu ya Mpunga zinazotoa  harufu ya kunukia aina ya Aroma kuongeza uzalishaji huku wakizingatia ubora wa harufu ya mpunga huo ili kuvutia katika soko. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Waziri Mwijage amesema hayo wakati alipotembelea banda la Maonesho la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo ...


Source: MwanahalisiRead More