MWIJAKU ATOA UJUMBE MZITO KWA MKEWE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MWIJAKU ATOA UJUMBE MZITO KWA MKEWE

Mke wangu siku hii ya kwanza wa Honeymoon yetu ningependa nikwambie haya yafuatayo...
Harusi sasa imeisha, kila mtu amesharudi kwao. Hakuna muziki tena, hakuna kwaito tena. Harusi yetu ilikuwa nzuri. Nilijitahidi kuandaa harusi ya ndoto yako. Najua ulikuwa ukiangalia sana kipindi cha harusi, ukatamani tuwe na harusi nzuri kuzidi zile zilizokuwa zikioneshwa. Nimejitahidi katika hilo.
Nilichoshindwa ni kuirusha tu 'Live'. Sasa ni historia. Harusi tumemaliza ni muda wa kujenga ndoa yetu. Kilichobaki ni sisi wawili tu. Kila kitu kinachotarajiwa na sisi kinaanza leo.
Maisha yetu hayako kawaida sasa, kuna siku fulani ulikuwa umevaa gauni lako jekundu. Ulionekana mrembo sana siku ile. Ni siku ile ambapo tulienda pamoja kuangalia Sinema pale Mlimani City. Tukiwa tunaangalia sinema nilitamani nikukiss, nilitamanai nikushike kwa jinsi ulivyokua ukinivutia.
Guess what mke wangu...
Sasa nipo na wewe maisha yangu yote, naweza nikakushika muda wowote ninao hitaji pamoja na kukikiss muda wowote ule. Ngoja n... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More