Mwili Mpya wa Wema Sepetu Wazua Gumzo - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mwili Mpya wa Wema Sepetu Wazua Gumzo

Mwili wa mwanadada Wema Sepetu umezua mjadala mkubwa katika mitandao ya instagram baada ya mwanadada huyo kuanza kuonyesha picha zake za mwili wake kwa jinsi livyopungua kwa sasa.


Mwanadada huyo ambae alisemwa sana kipndi fulani baada ya habari kusambaa kwamba mwanadada huto amekwenda kukata utumbo ili aweze kupunguza mwili wake na kuumwa sana hata afya yake kulegalega.


Wema sepetu kwa sasa anazidi kurudi katika  mwili wake wa zamani kipindi alipokuwa miss na umbo hilo limewafanya watu wengi kumtamani sana kuwa kama yeye.The post Mwili Mpya wa Wema Sepetu Wazua Gumzo appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More