Mzee Akilimali kauwasha moto baada ya kusikia Manjia anarudi Yanga - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mzee Akilimali kauwasha moto baada ya kusikia Manjia anarudi Yanga

Mzee Ibrahim Akilimali amezisikia habari za wanachama wenzake wa Yanga kupitia Mkutano Mkuu kukataa barua ya mwenyekiti wao Yusuf Manji kujiuzulu nafasi yake katika klabu.


Kwa pamoja wanachama wa Yanga waliohudhuria Mkutano Mkuu, wamekataa kupitisha barua ya mwenyekiti wao Manji kujiuzulu nafasi ya uenyekitti.


Manji alijiuzulu uenyekiti wa Yanga mwezi May 2017 na kumwacha makamu mwenyekiti Clement Sanga kukaimu nafasi ya mwenyekiti.Source: Shaffih DaudaRead More