Mzee Majuto afariki dunia - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mzee Majuto afariki dunia

MUIGIZAJI maarufu Athuman Majuto (King Majuto) amefariki dunia usiku huu kwenye Hospital ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mzee Majuto ameripotiwa kufariki majira ya saa 2 usiku hospitalini hapo alipokuwa anatibiwa kwa wiki wiki mbili. Taarifa za kifo cha King Majuto zimethibitishwa na mtoto wake Abuobakari. King Majuto alizaliwa mwaka ...


Source: MwanahalisiRead More