Mzee Majuto, msanii maarufu na mkongwe wa vichekesho Tanzania afariki dunia - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mzee Majuto, msanii maarufu na mkongwe wa vichekesho Tanzania afariki dunia

Msanii mkongwe na maarufu nchini Tanzania na Afrika Mashariki Amri Athuman maarufu Mzee Majuto amefariki dunia wakati akipokea matibabu kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili iliyopo Dar es Salaam Tanzania.


Source: BBC SwahiliRead More