MZEE MWINYI ACHUKIZWA JANUARY MAKAMBA KUTUMIA VIBAYA YA PICHA YAKE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MZEE MWINYI ACHUKIZWA JANUARY MAKAMBA KUTUMIA VIBAYA YA PICHA YAKE

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi ameelezea kutofurahishwa kwake na kitendo kilichofanywa na aliyekuwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba kutumia picha yake katika mitandao ya kijamii muda mfupi baada uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli.
Mzee Mwinyi amesema picha iliyotumiwa na January Makamba katika mitandao ya kijamii ikimuonesha yeye ameketi na January Makamba wakicheka muda mfupi baada ya kufukuzwa Uwaziri imemkwaza kutokana kutumiwa katika mazingira na wakati usiostahili.
Mzee Mwinyi anasema picha hiyo ilipigwa zamani wakati January Makamba alimpomtembea kwa ajili ya kupata uzoefu wake kwa kuwa nae aliwahi kuwa Waziri wa Muungano na Mazingira na pia alikwenda kumuomba aandike dibaji katika kitabu chake.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More