Mzee Yusuf kuvamiwa na majambazi: Baada ya kusikia ‘paaa’ nikajua nimepigwa risasi (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mzee Yusuf kuvamiwa na majambazi: Baada ya kusikia ‘paaa’ nikajua nimepigwa risasi (Video)

Aliyekuwa muimbaji wa muziki wa Taarab, Mzee Yusuf amedai kwamba muda mchache baada ya kavamiwa na majambazi siku tatu zilizopita ilipigwa baruti juu akadhani ni yeye amepigwa risasi ya kifua kumbe hakuna kitu “Nikawa najiuliza mbona sioni damu au ndio nimekufa?”The post Mzee Yusuf kuvamiwa na majambazi: Baada ya kusikia ‘paaa’ nikajua nimepigwa risasi (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More