Mzungu wa Simba kutua Sauzi kibabe - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mzungu wa Simba kutua Sauzi kibabe

SIKU chache tu tangu aachie ngazi ndani ya Gor Mahia, Kocha wa zamani wa Simba, Dylan Kerr, yupo njiani kutua Afrika Kusini ili kuinoa klabu ya Black Leopards inayoshiriki Ligi Kuu ya huko (PSL).


Source: MwanaspotiRead More