Nabii Daniel Shillah afunguka mazito baada ya kutabiri Mo Dewji atapatika wiki hii (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nabii Daniel Shillah afunguka mazito baada ya kutabiri Mo Dewji atapatika wiki hii (Video)

Nabii kijana Daniel Shillah amefunguka baada ya utabiri wake kutimia ambao aliutoa siku chache zilipita kwa Mfanyabiashara Mo Dewji ambaye alitekwa na watu wasiojuliakana kwamba angepatikana wiki hii kabla ya Jumapili.


 The post Nabii Daniel Shillah afunguka mazito baada ya kutabiri Mo Dewji atapatika wiki hii (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More