Nabil Fekir: Liverpool wakaribia kumnunua mchezaji mwingine nyota kutoka Ufaransa - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nabil Fekir: Liverpool wakaribia kumnunua mchezaji mwingine nyota kutoka Ufaransa

Mazungumzo kati ya klabu ya Liverpool na Lyon yanatarajiwa kukamilika Ijumaa kuhusu uhamisho ambao huenda ukawa wa thamani ya karibu euro 60m (£52.75m).


Source: BBC SwahiliRead More