NACTE IMEFUTA USAJII KWA VYUO 20 , TISA VYASIMAMISHWA KUDAHILI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NACTE IMEFUTA USAJII KWA VYUO 20 , TISA VYASIMAMISHWA KUDAHILI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiBARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE)limetengaza kufuta usajili wa vyuo 20 baada ya kubaini vimeshindwa kufuata tararibu zinazoendana na matakwa ya usajili wa vyuo hivyo.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Kaim Katibu Mtendaji wa NACTE Dk.Adolf Rutayunga amesema uamuzi huo umefikiwa kwa kuzingatia kifungu cha 20 cha kanuni za usajili wa vyuo vya ufundi 2001.
Amesema vyuo ambavyo vimefutiwa usajili tayari baraza limeshaviandikia barua vyuo husika kuvitaka vihakikishe kuwa wanafunzi waliko kwenye programu zinazotolewa na vyuo hivyo wanahamia kwenye vyuo vingine vilivyosajiliwa na baraza kutoa programu kama hizo.
Amevitaja vyuo vilivyofutiwa usajili ni Covenant College of Business Sdudies(Dar es Salaam), Mugerezi Spatial Technology College(Dar es Salaam),Techno Brain(Dar es Salaam), DACICO Institute of Business and Management(Sumbawanga) na Arusha Institute of Technology (Arusha).
Vyuo vingine ni Lisbon Business Collage(Dar es Salaam), PCTL Training Insti... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More