NACTE IMEFUTA USAJII KWA VYUO 20 , TISA VYASIMAMISHWA KUDAHILI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NACTE IMEFUTA USAJII KWA VYUO 20 , TISA VYASIMAMISHWA KUDAHILI

Kaimu Katibu Mtendaji wa NACTE Dk. Adolf Lutayunga akizungumza na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya NACTE Mwenge jijini Dar es salaam wakati akitangaza kufuta vyuo 20 vya ufundi ambavyo havijakidhi viwango na taratibu za usajiri uendeshaji wa vyuo nchini vya ufundi nchini kutoka kulia ni Dk. Marcelina Aloyce Baitilwake na Dk. Gema Modu Mkurugenzi wa Ushauri na Malezi ya VyuoKaimu Katibu Mtendaji wa NACTE Dk. Adolf Lutayunga akizungumza na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya NACTE Mwenge jijini Dar es salaam wakati akitangaza kufuta vyuo 20 vya ufundi ambavyo havijakidhi viwango na taratibu za usajiri uendeshaji wa vyuo nchini vya ufundi nchini kutoka kulia ni Dk. Marcelina Aloyce Baitilwake na Dk. Gema Modu Mkurugenzi wa Ushauri na Malezi ya Vyuo kulia ni Mr. Twaha A. Twaha Mkuu wa Kitengo cha Udahili NACTE.
Na Said Mwishehe, Globu ya jamii.
BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)limetengaza kufuta usajili wa vyuo 20 baada ya kubaini vimeshindwa kufuata tararibu ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More