Nafasi Tatu Kwenye Siku Ulizonazo Za Kuandika Na Kupitia Malengo Makubwa Ya Maisha Yako Ili Kuhamasika Na Kuchukua Hatua Zaidi. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Nafasi Tatu Kwenye Siku Ulizonazo Za Kuandika Na Kupitia Malengo Makubwa Ya Maisha Yako Ili Kuhamasika Na Kuchukua Hatua Zaidi.

Rafiki yangu mpendwa, Mafanikio yoyote kwenye maisha siyo rahisi, hayajawahi kuwa rahisi na kamwe hayatakuja kuwa rahisi. Unapoona watu wamepiga hatua, wamefika kule ambapo na wewe ungependa kufika siku moja, jua kuna gharama ambazo wamelipa. Unapoona wazazi wamelelea watoto wao vizuri, jua kuna gharama wamelipa mpaka kufika pale. Unapoona wana ndoa wenye furaha na ushirikiano... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More