NAHODHA WA AZAM FC AKWE PIPA KWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU. - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAHODHA WA AZAM FC AKWE PIPA KWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU.
Na Mwandishi Wetu

NAHODHA Msaidizi wa Azam FC, Frank Domayo 'Chumvi', ameondoka nchini alfajiri ya leo Jumatatu kuelekea jijini Cape Town, Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu ya tatizo la kuchanika msuli wa nyama ya paja ya mguu wa kulia.Domayo alipata maheraha hayo, wakati akiwa kwenye kambi ya timu ya Taifa, iliyokuwa ikijiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 nchini Cameroon dhidi ya Guinea ya Ikweta.

Nyota huyo wa Azam FC ameambatana na Daktari wa timu, Dr.Mwanandi Mwankemwa, ambapo matibabu yake yatachukua takribani siku 10 atakazokuwa huko, yakifanyika kwenye Hospitali ya Vincent Palotti chini ya Dr. Robert Nickolas.


... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More