NAHODHA WA TAIFA STARS MBWANA SAMATTA SASA ANAFIKIRIA KUMILIKI NDEGE BINAFASI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAHODHA WA TAIFA STARS MBWANA SAMATTA SASA ANAFIKIRIA KUMILIKI NDEGE BINAFASI

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Samatta anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji amesema kwamba anaanza kupambana ili atimize ndoto za kumiliki ndege binafsi.
Samatta ameposti picha akiwa kweye mlango wa ndege binafasi ya klabu yake, Genk na kuandika; “Ndoto za kumiliki ndege binafsi zimeanza baada ya kupiga picha hii, siyo kila ndoto inaweza kutimia. Ila, acha vita ianze,”.
Samatta amerejea Ulaya baada ya Jumamosi kuichezea Taifa Stars mechi ya Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani nchini Cameroon ikilazimisha sare ya 0-0 na wenyeji, Uganda Jumamosi Uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala.
Mbwana Samatta amesema kwamba anaanza kupambana ili atimize ndoto za kumiliki ndege binafsiLakini Samatta amerejea Ubelgiji akiwa hana furaha baada ya kukosa bao la wazi Jumamosi Namboole kiasi cha kulazimika kuwaomba radhi Watanzania, akisema kwamba hakuwa na bahati siku hiyo, kwani amekuwa akifunga mabao katika mazingira magumu mno, lakini siku hiyo al... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More