NAIBU KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AKUTANA NA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, JIJINI DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AKUTANA NA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, JIJINI DAR

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Ramadhani Kailima akizungumza na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Phaustine Kasike alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo Novemba 5, 2018 jijini Dar es Salaam. Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Phaustine Kasike akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Ramadhani Kailima leo Novemba 5, 2018 alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(Picha na Jeshi la Magereza). ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More