NAIBU MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI ATAKA WANAOPINGA MUUNGANO WASHTAKIWE KAMA WAHAINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI ATAKA WANAOPINGA MUUNGANO WASHTAKIWE KAMA WAHAINI

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Mohamed Ali Ahmed akizungumza wakati wa Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Lililofanyika katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni Dar es Salaam.Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustine Kamuzora akitoa mada ya Umuhimu wa Taifa huru na uhuru wa Wananchi katika kukuza uchumi wa Viwanda.Mkuu wa Wilaya ya Kigambboni Sarah Msafiri akizungumza kuhitimishaKongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere.CAG Mstaafu, Ludovick Utouh akichangia mada katika Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Lililofanyika katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni Dar es Salaam.Watoa mada na Wajumbe wa Meza kuu wa Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Lililofanyika katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni Dar es Salaam.Viongozi wastaafu na wadau mbalimbali wakifatilia kwa karibu Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Lililofanyika katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More