NAIBU WAZIRI HASUNGA AMPA KIBARUA MKURUGENZI WA RAMANI KUTATUA MIGOGORO YA MIPAKA MKOANI MOROGORO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI HASUNGA AMPA KIBARUA MKURUGENZI WA RAMANI KUTATUA MIGOGORO YA MIPAKA MKOANI MOROGORO

  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akizungumza na wananchi kuhusu mgogoro wa eneo linalogombaniwa kati ya wanakijiji wa Katekate na Pori la Akiba la Selous ambapo eneo hilo linasemekana kuwa sio eneo la hifadhi wala si eneo la wanakijiji ambapo kwa mujibu wa Naibu Waziri huyo amesema litatumika kwa ajili ya kuanzisha Jumuiya ya wanyamapori ambapo wanakijiji hao ndo watakuwa wanufaika namba moja kama Mkurugenzi wa Ramani atabaini kuwa si eneo la Hifadhi wala la wanakijiji wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika kijiji cha Katekate wilayani Ulanga mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati alipokuwa kawasili katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro katika ziara yake ya kikazi ya kuzungumza na wananchi wa vijiji viwili vya Katekate na Iputi kwa ajili ya kutatua mgogoro katika ya vijiji hivyo na Pori la Akiba la Selous. Mbunge wa jimbo Ulanga, Gudluck Milinga akizungumza na ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More