NAIBU WAZIRI HASUNGA ASHIKI ZOEZI LA KUFUNGA VIFAA VYA ULINZI WA MAWASILIANO FARU WA SERENGETI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI HASUNGA ASHIKI ZOEZI LA KUFUNGA VIFAA VYA ULINZI WA MAWASILIANO FARU WA SERENGETI

 Waziri wa Maliasili na Utalii akiwa anashikiri zoezi la kuwafunga Faru wa Serengeti vifaa vya ulinzi na mawasikiano.Waziri wa Maliasili na Utalii akiwa katika picha ya pamoja. 
Na Ahmed Mahmoud, Arusha.
VITA dhidi ya ujangili wa Faru, imeendelea kushika kasi na sasa Faru wa serengeti,wataanza kulindwa na vifaa maalum vya kielekroniki katika mradi ambao utagharimu zaidi ya 2.5 bilioni
Mradi huo,unaofadhiliwa na shirika la uhifadhi za Friedkin conservation Fund(FCF) kwa kushirikiana na shirika la Frunkfurt zoological society na kusimamiwa na shirika la hifadhi za taifa nchini (TANAPA) na taasisi ya utafiti wa wanyamapori(TAWIRI).
Mratibu wa Mradi wa uhifadhi wa Faru katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Philbert Ngoti alisema, vifaa hivyo ambavyo vitawezesha Faru wa Serengeti kuwa salama zaidi.
Alisema Faru wa Serengeti wanafungwa vifaa vya aina mbili,vya kielekroniki VHF transmitter ambacho kinawezesha kuwafatilia walipo kila siku na pia wanafungwa katika mguu wa kulia kifaa cha kisa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More