NAIBU WAZIRI IKUPA AIPIGA JEKI UWT DODOMA MIFUKO 30 YA SARUJI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI IKUPA AIPIGA JEKI UWT DODOMA MIFUKO 30 YA SARUJI


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia watu wenye ulemavu Mhe.Stella Ikupa akikabidhi Mifuko 30 ya Saruji kwa UWT Mkoa wa Dodoma wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Rehema Mwendamaka (katikati) mwenye T.shirt nyeupe ni Kaimu katibu wa UWT Diana Madukwa na mwingine ni Mwenyekiti wa UWT Neema Majule wakipokea mifuko hiyo.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Mkoa wa Dodoma,Rehema Mwendamaka akimpongeza kwa moyo wa dhati Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia watu wenye ulemavu Mhe.Stella Ikupa mara baada ya kuwakabidhi Mifuko 30 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha watoto.
Kaimu katibu wa UWT Mkoa wa Dodoma,Diana Madukwa akimshukuru Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia watu wenye ulemavu Mhe.Stella Ikupa mara baada ya kuwakabidhi Mifuko 30 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha watoto.
Mwenyekiti wa a UWT Mkoa wa Dodoma,Neema Majule akimpongeza na kumshukuru kwa Moyo wa dhati aliouonesha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More