NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAONYESHO SABASABA

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya  Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza  Askari wa Usalama Barabarani Faustina Ndunguru akitoa maelezo juu ya usalama barabarani na matumizi ya alama za barabarani. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimuuliza swali kwa kutumia mfano wa picha za magari Askari wa Usalama Barabarani Faustina Ndunguru kuhusu makosa ya kuvunja sheria barabarani.  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya  Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Sajent Miriam  kuhusu jinsi Polisi Jamii wanavyofanya kazi kuhudumia wananchi. Naibu Waziri huyo alitembelea banda la polisi katika viwanja vya sabasaba yanakofanyika Monyesho ya Kitaifa ya Biashara jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Konstebo wa Polisi, Jovin John kuhusu mbwa wa polisi wanavyoweza kusaidia katika kukamata wahalifu nchini. Naibu Waziri huyo alitembelea banda la polisi katika viwanja vya sabasaba kunakofanyika Monyesho y... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More