NAIBU WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiweka saini katika daftari la wageni baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tayari kwa ziara ya kikazi jijini Arusha.Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Kilimanjaro,Mrakibu Msaidizi Zauda Mohamed na katikati ni Mkuu wa Kituo cha Polisi KIA,Mrakibu Msaidizi Abel Mgode .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tayari kuelekea jijini Arusha kwa ziara ya kikazi.Katikati ni Mkuu wa Kituo cha Polisi KIA, Mrakibu Msaidizi Abel Mgode na kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Kilimanjaro, Mrakibu Msaidizi Zauda Mohamed.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More