NAIBU WAZIRI MASAUNI, IGP SIRRO WAWASILI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI MASAUNI, IGP SIRRO WAWASILI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack (katikati), baada ya kuwasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi.kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro.Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Masauni amewasili mkoani Shinyanga leo kwa ziara ya kikazi.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack baada ya kuwasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More