NAIBU WAZIRI MAVUNDE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI


Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akizungumza na Mwakili wa UNICEF Tanzania Bi. Maniza Zaman alipokwenda kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mei 10, 2019 Jijini Dodoma.
Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Bi. Maniza Zaman (kulia) akimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde. (katikati) ni Bi. Khadija Othman mwakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Bi. Maniza Zaman, akimweleza jambo Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. (Kulia) ni Bi. Khadija Othman mwakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Mkuu wa Ushauri na Sera za Kijamii Bw. Paul Van Lifford (kushoto), akieleza jambo kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde (kulia) ku... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More