NAIBU WAZIRI MHANDISI NDITIYE AZINDUA WIKI YA SHIRIKA LA RELI NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

NAIBU WAZIRI MHANDISI NDITIYE AZINDUA WIKI YA SHIRIKA LA RELI NCHINI

Na Emmanuel Massaka, Globu ya JamiiNaibu Waziri wa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiy amefungua wiki ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) pamoja na kuzindua nembo na kuzindua nembo mpya ya shirika hilo.
Akizungumza na waaandishi  wa habari leo jijini Dar es Salaam Mhandisi Nditiye amesema juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano  kupitia ilani ya CCM katika sekta ya usafirishaji zitapelekea kuondoa kero mbalimbali na kukuza vipato vya wananchi
Mhandisi Nditiye amesema ili huhakikisha kauli mbiu ya uchumi wa viwanda inatekelezwa kwa ufanisi kwa kutumia miundombinu ya reli ya kisasa na uboreshaji wa reli ya kati kuelekea Dar -Isaka.Mhandisi amesema juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano kwa wananchi wa Tanzania tushirikiane kwa pamoja kuunga mkono juhudi za serikali inayoongozwa na Mh.Rais Dkt.John Joseph Pombe Magufuli.
"Nawahakikishi kuwa serikali ya awamu tano itaendelea kuboreha huduma kwa wananchi na kuimarisha miundombinu ya re... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More