Naibu Waziri Shonza Atembelea Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Naibu Waziri Shonza Atembelea Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mratibu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Bi. Ingiaedi Mduma (kushoto) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea programu hiyo kujionea shughuli mbambali za utendaji kazi wa programu hiyo mapema hii leo Julai 22, 2019 Jijini Dar es Salaam. Mratibu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Bi. Ingiaedi Mduma (katikati) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea programu hiyo kujionea shughuli mbambali za utendaji kazi wa programu hiyo mapema hii leo Julai 22, 2019 Jijini Dar es Salaam, kushoto Afisa wa Programu hiyo Mayzuhura Simba. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) akifafanua jambo kwa watumishi wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea programu hiyo kujionea shughuli mbam... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More